Recent content by Smart G

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Poleni, Jitahidi kuchukua hatua ya kuonana na wataalam wa afya kwa kwenda hospital
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Pamoja...tuendelee kuchukua tahadhari, asante
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Sawa, ila endelea kuchukua tahadhari
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Asante pia, tuendelee kuchukua tahadhari
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Asante, hahaha eti tozo
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Naomba Votes zenu wanajamii huku tukichukua na hatua
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Corona (COVID-19) ipo mtaani tayari, chukua hatua!

    Awali ya yote ninamshukuru Mungu aliyetuweka hai mpaka sasa mimi na wewe tupo pamoja katika ukurasa wetu wa jamii. Mwanajamii, karibu tuangalie kwa pamoja kwa jinsi gani tunaweza kuchukua hatua dhidi ya haya maambukizi ya virusi vya corona. Kwanza, Bila kupoteza mda nianze kwa kuangalia hatua...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    UKIMWI ni kifupi cha Upungufu wa Kinga Mwilini ambao ujulikana kama ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ukimwi (VVU)
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utambue 95-95-95: Mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

Back
Top Bottom