Recent content by SMART DETECTIVE

  1. S

    JamiiForums Tiba bure kwa wazee, watoto na wajawazito

    Habari wana JF. Kuna hii sera ya serikali ya matibabu bure kwa wazee, wamama wajawazito pamoja na watoto chini ya miaka mitano kutolewa katika hospitali zote za serikali, je lina uhalisia wowote kiutendaji? Mama Ummi Mwalimu amesikika mara kadhaa akisisitiza kuwa huduma za maibabu kwa walengwa...
Back
Top Bottom