Recent content by Smart-brain

  1. S

    JamiiForums Tanzania HIZI NI SERIKALI MBILI TOFAUTI AU??

    Hawa Walimu si kwamba hawana mtetezi, la hasha! Ninamkumbuka kiongozi mmoja wa CWT (jina limenitoka kidogo ), huyu aliichachafya kidogo Awamu ya 4, ila Walimu dhambi yao kubwa inayowatafuna ni "kutumika kisiasa!" Viongozi wa juu wakipewa "vihela vya mboga" watasimamia haki za watu? Hapana!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Azam, Zuku na DSTV walirusha maudhui ya ndani kinyume na leseni zao! Lazima warejeshe fedha zote walizowatoza Wananchi

    Umeona ee! Je, Serikali ilisuburi hao jamaa "biashara inoge" huku wakivu Kwa "Smart Gov'nt" utaachaje Sheria zinakiukwa we unaskilizia tu? Haya, imetokea kulipa hizo pesa, Zitaingizwa ktk mfuko upi, na je, hii siyo aina nyingine ya kuwaibia wananchi kwa kushindwa kusimamia kanuni na taratibu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania HIZI NI SERIKALI MBILI TOFAUTI AU??

    Habari wakuu; Nikizungumzia upande wa Tanganyika, tumebarikiwa kuwa na katiba, sheria, kanuni, taratibu, pamoja na miongozo (licha ya mapungufu) mbalimbali ili kutufanya tuishi kwa utaratibu na amani. Lakini kwa upande mwingine hatuoni sheria hizi zikiwashughulikia wahusika kikamilifu au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Hivi, umesoma kwa makini ukaelewa maana ya ujumbe na "maneno yalivyotumika?" Jipe muda!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Kwa ujumla, Watanzania wote ni Wajinga, na wachache-wengi ni wapumbavu. WHY?? Watanzania tumekubali kushikishwa mgomba(uliovunwa) wakati ndizi zinaliwa na wengine "ju-kwa-ju"! Tunapigiwa kelele na "wanaoona vizuri" juu ya hujuma na wizi huo, sisi tunatumbua mimacho tu na kuwaita wachochezi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Dah, ndugu mbona una "USHABIKI MNONO" kuliko tuliouzoea??? "Kye-kye-kye_ _ _kye", acha nicheke "Kihutu" a.k.a "kizilankende" a.k.a "ki-jiwe!!!" Kuwa Trd maker RAHA EE??????
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali ya Magufuli wanahusika na jaribio la mauaji dhidi yangu. Sooner or later, ukweli utajulikana

    Refer paragraph ya 23. Hivi najiuliza,akianza kufa yeye, na akamuacha Lisu hai? Mambo ya UZIMA/UHAI tusimpangie MWENYE NAVYO, TUTAPATA AIBU KUBWA!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Nimekuelewa sana! Kinachoumiza zaidi "UTOTO WA KUCHEZEA KODI ZA WANANCHI " bila hata HURUMA!!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa CCM

    Hatukatai, "CCM ya sasa inapambana na wananchi", ndo maana mnakandamiza haki zao. Na kupata shida kwa chadema ni ili wananchi hao wajue wajibu wao kwa nchi na si kufanywa "nyama buchani". Tafakari hilo!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa CCM

    True! (Rejea maandalizi ya Uchaguzi, kata 77 + Jimbo 1, Aug. 2018). "Kupita bila kupingwa" kwenye kata 30 (kwa hila) ktk nchi inayojinasibisha ni ya kidemokrasia (vyama vingi) kwao ndo ushindi??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa CCM

    Kutokana na ukweli kuwa wazi hivyo, "wanajipotezea eti!". WaTz wameamka, tuinuke tulijenge taifa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa CCM

    Ni lazima UPATE SHIDA SANA, Why? Because, mnalazimisha "Kupiga ngwala frying pan jikoni kwa Ute wa Mayai".
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa CCM

    Kwa mtu mwenye uelewa japo wa kawaida tu, anaweza ona jinsi kasi ya kuporomoka kwa CCM ktk jamii ni kubwa, licha ya jitihada nyingi zifanywazo. SWALI: Je, CCM wakiiga KILA wafanyacho CHADEMA (kwa sasa, yaani Mikakati, mbinu ,nk), wanaweza kurejesha ushawishi unaoporomoka?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Tanzania Mpya TBC: Mkurugenzi wa Twaweza aliyetoa utafiti kuhusu Magufuli achunguzwe uraia wake!

    Hivi kweli tunaaminishwa kuwa Watanzania HAWAWEZI KUHOJI, KWELI???
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra atinga Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kupinga matokeo ya Urais kutopingwa mahakamani

    Nimeikubali sana hii approach(si mpya kuisikia, may be mpya kiufuatiliaji) , Why? Because, huyu Mh. ni msomi , tena ni "MTU WA MAENDELEO!" Anajua kabisa, pakiwepo na uwanja sawa wa ushindani, na Mwenye HAKI akiikosa haki yake kwa "mizengwe iliyorasimishwa", awe na sehemu maalum ya kwenda kutoa...
Back
Top Bottom