Kuku Sasso kifaranga ni bei gn? Je nikianza na kuku 200 nikatoa gharama ya chakula na madawa nitapata faida Kama bei gn? Vp kuhusu banda linatakiwa kuwa na ukubwa gan je futi 10 kwa 10 yn kama ukubwa wa chumba cha kulala kinatosha... Mwisho na ml 1 ndo nataka nianze kujenga banda hiohio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.