Habari wana JF
Mimi mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology natafuta kazi ya kufundisha. Nina uzoefu wa kutosha kufundisha na kuandaa practicals za masomo hayo kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Naomba tusaidiane jamani, Mimi napatikana Dar es salaaam. My number is 0628 144 496.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.