Wana jukwaa naombeni kuuliza inawezekana mtu kuajiriwa na taasisi za serikali mbili tofauti?
Mfano nimefanya usahili IFM na UDSM halafu majina ya IFM yakatoka mapema kabla ya UDSM hayajatoka.
Je Kuna uwezekano UDSM wakaniita na wao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.