Recent content by slaanore

  1. slaanore

    JamiiForums Tanzania Kuliko Kufungia Mitandao ya Kijamii Tanzania, Serikali, CCM na Polisi Tanzania jitoeni kwenye hiyo mitandao, Msiitumie, Acheni kuwatesa Wananchi

    mtandao wa @X umefungiwa Tanzania. Lakini bado tunaona serikali inaendelea kutengeneza maudhui na habari kupitia kurasa za viongozi. rais, na wengine. pia kupitia kurasa za taasisi @ikulumawasliano , ofisi za wizara na wengine. Je serikali inamhabarisha nani? kwenu JamiiForums
Back
Top Bottom