Recent content by Skyway

  1. S

    Ali Hapi aipasua Jumuiya ya Wazazi, hali ni tete

    Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi wake Tangu ateuliwe hajakutana na hataki kukutana na viongozi wakuu wa jumuiya
  2. S

    PreGE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

    Anguko la chadema ni wazi kabisa Uchaguzi ndani ya Chama ni wana demokrasia vs dikteta Fedha chafu( mbowe) vs tundu LISU Covid 19 ni cancer mbowe anavuta mbunga kila mwezi kupitia covid 19
  3. S

    Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

    Pambalu mropokaji tu ni Tundu LISU square
  4. S

    PreGE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

    Maliza kesi yako na Malisa chadema hamsafishiki tundu LISU kawapiga na Mayai viza Chama kina hela chafu Mbowe dikteta
  5. S

    PreGE2025 Chadema fanyeni vikao vya ndani kukosoana, kurekebishana, na kusahihishana

    Mgogoro ni mkubwa Issue ni hivi sugu ana mzigo wa kutosha na mfuasi wa mbowe Msigwa kalalamika kwa LISU hana hela na ni mfuasi wake na bila kujizuia kaweka hadharani Kuna kambi ya mbowe na kambi ya LISU Pambalu( LISU) vs wenje ( mbowe) Kambi ya mbowe ina hela Chafu
  6. S

    Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

    Hela chafu vipi mmepata majibu
  7. S

    PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Tundu LISU ameianika chadema lakini aelewe siasa siyo uadui
Back
Top Bottom