Recent content by SKMSKMSKM

  1. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Sijawahi kuona mtu hana maarifa kama wewe! Kakae ufundishwe forex vzuri ndo uje na huu uongo wako maana ata wanaokuuliza wenyewe wanashangaa unajibu nini
  2. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Pelekeshaa ujingaa ukoo labda unajua kustake high😅
  3. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Nimeonaa unatumia hii picha kwenye kila mjadala wa kupinga forx trading, bro fanyaa research kwanzaa kabla hujalepa poyoyo zakoo uku. Uku sio facebook unaingia na kulog out. Kuna mjadala ulikuwa hivi hivi ukasema sijui akubali kutoa $1000/800 kama contracts in which uo ni uongoo na utapeli acha...
  4. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Bro usibishane na mtu ambae hajui kitu. Ogopa mtu ambae anarelay kwenye google🤣 yaan muogope sanaa. Sasa mtu anauliza adi kama forex trading ni betting au sio betting na anaambiwa kabisa na bado haelewii
  5. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    STOP LYING, you know nothing broh, na izo braggicio zako ety umefanya kazi BOT. WEWE NI MWIZI NA MUONGO
  6. S

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Huyuu jamaa ni Muongoo na mwizii msimsikilizee wala kumfuataa
Back
Top Bottom