Recent content by skale jorde

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Seif, Jussa na Lissu. Nani atafuata?.

    Muda wowote lolote laweza tokea. Mfano, Lowassa kuja ukawa, au Prof. kuwa mwanachama co mwenyekiti. Alfi kuja Ccm au Lembeli kuja Chadema. Jamani mwanasiasa kinyonga.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Prof. Katoa sababu zake, swali je! zina mashiko?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Kweli gwanda ni kwa Fidel Casto tu, na Che G. wenzetu mgambo wa jiji.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Kweli brother, ifike sehemu tujadili mambo yakujenga. Tanzania ni yetu wote na tuijenge wote.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Aliisaac umeongea vzr tujaribu kuchunguza, tusiwe wepesi kufokezana jamani. Tzna yetu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Nichangamoto ktk chama tu, but with money you can buy position, but not respect.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wameumizwa sana na Lowassa kuhama chama?

    Kwa wakristo mkeo awe mzinzi, mchawi, mwizi, muhuni, au umemfumania. Ndoa yenu inavunjwa na kifo tu, Nina la Bwana litukuzwe. Amen.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea CHADEMA, tujifunze kuwa huru na sio kuwa mfuasi

    Analipiza kukatwa but, the one who pursues revenge should dig two graves.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Tetesi zinapokuwa ukweli.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Lizabon very good brother.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais

    The end justify the meaning.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Azam Two wanaonesha mchakato mzima wa uchaguzi Dodoma lakini TBC bure kabisa

    Azam TV ongereni sana. Wakati meri ya MV. Spice inazama tbche walikuwa wanaonyesha taharabu. Tusishangae Leo wako Kwene kipindi cha mapishi na sio Dodoma. Laana ya mazee wangu Tido inaendelea kuwatafuna.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    In mwanzo tu, tutajionea mengi sana.
Back
Top Bottom