Recent content by Sk Classified

  1. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo TANGA mimi niende IRINGA VIJIJINI Idara ya Sekondari Nicheki 0759 382540 au 0752 549788
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MWL. SONGELAELI C. MSWA IDARA YA SEKONDARI MKOA WA TANGA ANATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE KITUO KUTOKA MKOA WA IRINGA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI. KWA ALIE TAYARI ANICHEKI KWA 0759 382540 Na 0652 549788
  3. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Saa Sita na robo ndio kipindi changu kinaanza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tanga nije moshi idara ya sekondari..
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tanga au muheza jitokezeni basi!
  6. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Muheza shule gani Unafundisha Allam?
  7. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl. yuko Moshi manispaa idara ya Sekondari anatafuta wa kubadilishana nae kituo kutoka Tanga au Muheza!
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl, muheza shule gani unafundisha? mi nko moshi manispaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MWL IDARA YA SEKONDARI NJOO MOSHI WILAYA YA HAI NIJE TANGA JIJI AU MUHEZA! Nicheki kwa pm
  10. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kilindi hapana:Ni Tanga jiji ama Muheza!Na huku kilimanjaro utakuja wilaya ya hai na skul ipo mita mia 300 toka barabara kuu ya moshi-Arusha!
  11. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu anaetaka kubadilishana kituo cha kazi: Njoo Moshi nije Tanga idara ya sekondari!
  12. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu idara ya sekondari yko mkoa wa Kilimanjaro wilaya hai,(Maili sita) shule iko barabaran kbsa kma mita 200 kutoka barabara ya Arusha-Moshi.Anatafuta wa kubadilishana nae kutoka Tanga jiji.Ni pm for Contacts!
  13. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tubadilishane Kituo cha Kazi: Njoo Tanga idara ya Sekondari nije Kilimanjaro.Nicheki Kwa No.0714295084 Tufanye Mchakato!
  14. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tubadilishane Wilaya ndani ya Mkoa wa Tanga: Njoo mkinga mi nije Muheza,Tanga jiji ama korogwe! Nicheki now!
  15. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MWL idara ya Sekondari Njoo Tanga mi niende kilimanjaro!
Back
Top Bottom