Recent content by SJB

  1. SJB

    JamiiForums Tanzania WALIOCHAGULIWA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (dareslaam campus)

    Waliochaguliwa ngazi ya stashahada tufahamishane mambo kadhaa na pia tufahamiane[emoji536] [emoji536]
  2. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Sifahamu mtu anayesoma hicho chuo ila nitajaribu kutafuta njia nyingine rahisi mkuu niweze kufanikisha
  3. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Sawa kiongozi ila daah simu yenyewe hawapokei
  4. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Asante..ila ni utaratibu gani mwingine wanaotumia maana labda ingekuwa wanakuchek kwenye email account ingekuwa sawa ila chuo bado hakijafanya hvyo
  5. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Unaanza lini mkuu..na pia hicho chuo kipo wapi?
  6. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Ningefanya hvyo ila nipo mkoa tofauti na mahali chuo kilipo
  7. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Poa mkuu asante..ngoja nijaribu
  8. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Ni kweli mkuu ila ukipiga simu iko bize na pia hawapokei cjafahamu shida nn
  9. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Umefanya utaratibu gani mkuu
  10. SJB

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa toka NACTE wanitaarifu nimechaguliwa japo sijapigiwa simu, tatizo nini?

    Please be informed that you have been provisionally selected to join above Programme and said Institution/College, pending to the confirmation of the Institution/College. Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo juu. Uchaguzi huu unategemea...
  11. SJB

    JamiiForums Tanzania Third selection NACTE

    Nafkir aliyeuliza hapo juu alimaanisha third round kwa diploma
Back
Top Bottom