Recent content by SJA

  1. SJA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Life popote,mipango ndo dili epuka michepuko.
  2. SJA

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wafunguka.

    Halafu ninyi ambao mnadai majina mnayo mbona na nyinyi mpo kama TAMISEMI NA MOEVT maana hamfunguki watu wakaelewa tunapata tabu huku mitaani kuulizwa kila wakati utasikia ebhana eeh umepangiwa wapi? Hawajuw yanayotusibu kwa kweli.
  3. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Presha presha ya nini wakati tunaenda vijijiniiii
  4. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Ndesangao wewe ni malware virus unataka kuharibu mind za watu teeeh teeh
  5. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Kuhijack ndo nn sasa
  6. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Aaaaah watu wameenda kufanya nn tena wanataka watoe mtu meno nn
  7. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Nataman kuamka ila naona tabu itabid nilale kwa hasira had nikisikia wameshaweka ndo naamka wakipitisha siku itabid nipige KUNJI la mtu mmoja
  8. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Ebhana nomekesha hapa mijicho haitak hata kufunguka halafu na majina ndo ivo jmn hii balaa
  9. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Naona IT wao yupo makin maana alivyozuia mtandao hautak kabisaaaaa kufunguka ngoja tuwaache
  10. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Humu hali ni tete mpaka sasa
  11. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Wewe inamana hata website huzijuw jmn daah pole sana moja hii hapa www.pmoralg.go.tz ila inasumbua
  12. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Tuelendelee kuwa wapole tuu
  13. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Mbison hiyo ndo lugha gan ha ha ha ha
  14. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Hii morali yakutaka kujuwa eneo la kaz jmn daah kweli walimu tumeshachoka kaz mbaya ukiwanayo bhana
  15. SJA

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Ha ha ha ha leo vifurushi(MB) vya tumika jmn daah
Back
Top Bottom