Habarini wakuu
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu naomba kwa mtu anayefahamu au yupo mkoa wa mbeya hasa pale uyole naomba anifahamishe bei ya mchele kuanzia grade 1 mpaka 3 kwa sasa
Angeniambia bei ya mashineni ningeshukuru sana
Habarini
wakuu nauza laptop aina ya sony vio kwa 250,000
Specification
Intel pentium
Ram 4gb
Hd gb 500
64 bit
Matatizo
Baadhi ya batani hazibonyezeki ni ya kubadilisha mother board
Betri haikai na chaji
Nb
Laptop inawaka na naitumia ukiipenda nicheki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.