Recent content by siyo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Bro ko ni nzuri nikasomee hiyo maana shule ninayoenda pcb inaperfomance mbaya walimu hawapo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Guys nauliza CBG inaopportunity ya kusomea nini na nini chuo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Okay sawaaa mkuu asante
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Anayo c hiyo ya George yan ana two ya 21 kapata d physics tu mengine yote ana c
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Performance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Ngoja nimshauri maana dogo kakazania kweel hiyo comb
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Kwahiyo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome HGK.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D. Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Back
Top Bottom