Recent content by siyafate bilenge

  1. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa KISHERIA

    naomba nielekezwe, kuna bwana mmoja aliwekwa ndani kwa tuhuma za mauaji lakini baada ya muda wa miezi saba ndani imebainika kuwa hana hatia, na yeye anataka kuanzisha kesi (kuishitaki jamhuri) ili apate fidia afanyeje?
Back
Top Bottom