Kwa sasa nasupply power transistor 2SC5200, 2SA1943 mtumba original ila soon nitaanza pia kusupply components zingine ikiwemo universal card za amplifier na busta za muziki, heat protection kwa ajili ya busta, amplifier na power mixer, tone control, pre amp, low pass na vitu kadha wa kadha...