Thanx man you are a great thinker, bahati nzuri ni juzi tu nimepiga bonge la ishu mie na wenzangu nimetoka na kitu ka 2.8M,watu waache kashfa wengine tuko vitengo vyenye monie,nilitaka loan kwani nilikuwa na hitaj la haraka wakati ule
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na crdb wamenambia wanataka salary slip za miezi 3 nami sina afu ninahitaji la haraka la kupata malazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.