Recent content by Sista Pendo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Avn number

    Rafiki ukipata message hiyo ujue kuna shida mahali.
  2. S

    JamiiForums Tanzania AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Pole sana mpendwa nami pia nina changamoto ambayo ni kwenye upande wa majina Cheti cha Secondary herufi ya kati (initial) haina nukta halafu Cheti cha Diploma herufi ya kati (initial) ina nukta. Nilihangaika na kwenda Chuo nilichosoma ndio wakanieleza hiyo shida hapo juu, wakaandika barua...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Avn number

    Hiki kitu jamani kinanitesa sana mimi, nikijaza details za Diploma kwenye registration number naletewa message registration number or examination year are not found in their database. Ila niliwasiliana na Chuo nilichosoma wananiambia matokeo walishayapeleka.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kupata Award Verification number (AVN)kutoka NACTE kwa 2019?

    Habari, hata mm naletewa ujumbe huu, na Chuo nilichosoma nilienda kufuatilia nikaambiwa matokeo yangu walishayapeleka.
Back
Top Bottom