Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi ntawapata wataalamu wa kupima udongo kwa ajili ya kilimo hapa Dar es salaam anisaidie tafadhali. niko katika hatua za awali za kuandaa shamba kwa ajili ya kilimo cha Nyanya huko maeneo ya kibada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.