Recent content by sirntazzy

  1. S

    Hivi kutongoza ni kipaji?

    We unajua kutongoza wanaume tu! Maujanja yako siyo valid kwa wanaume.Lakini ukipigwa saund si unaingia line?
  2. S

    Hivi kutongoza ni kipaji?

    Ya! Ni kipaji. Nakumbuka nikiwa Advance alikuwepo jamaa mmoja tuliyekuwa tunasoma naye alikuwa hajui kutongoza (alikuwa zuzu) mpaka tukampa jina la Curriculum.Wasichana wakimuuliza kuwa unapopiga saund demu unasemaje? ye akawa anasema 'Nimekumaind kama vp twenzetu geto' wasichana kujua hilo...
Back
Top Bottom