Recent content by Sirdick Mashally

  1. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo, je kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Yan kilimo kuwepo tu kwny moyo 2 ni hatua kubwa sana yan ni kama hatua ya awali alaf mambo mengne yatafata. Ni rahis sana kufanikiwa kwny kitu ambacho unakifanya huku unapenda kukifanya ( unapenda unachofanya) Yan hata km kitu kina faida lakin km huna mapenz nacho itakuwa ni vigum sana...
  2. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo, je kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Nalimia wilaya ya Igunga(Tabora) pia na Tabora Manispaa Mbegu inategemea na eneo lenyewe unalolima km ni kwny miinuko au mabonden Mfano me ninalima kwny maeneo yote hayo, kw upande wa miinuko ninatumia 1. NERICA 02 ( TUMAINI ) * Mavuno ni tani 3-4 kwa hekta moja *Muda wa kukomaa ni siku...
  3. Sirdick Mashally

    SoC02 Kuvunjika kwa ndoa ya dada kulivyoathiri afya ya mtoto wake

    Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
  4. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo. Je, kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
  5. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo, je kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe. Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
Back
Top Bottom