Huju bei inabadirika badirika lakn kama gunia la debe 10 ni 370 hadi 400 like kubwa la kusafirisha lina hadi 770 ila kuna siku inashuka lakn ukitaka uchukulie kisiwan ndoo bei inakua chini zaidi kama me nachukulia kisiwani inakua chini Zaid maan naanik mwenyewe
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo.
Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
Best Kwang ni biashar yoyte ya jumla yaaan biashar ya kununua na kuuza kitu kwa bei ya jumla mfano kutoa dagaa mwanza kupeleka nje kama dar dom songea mbeya n.k au hata samaki unaanza kwa kwa hela kidg ata mil 2 tyu ukiona inalipa unaongeza tena mbili ila ni vzur magazine yako yalipo ndoo ikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.