Vijana najua mumesubiri sana lakini swala la ajira nitete bado kwasababu majina huwa yanapelekwa kwanza wilayani kwa wakulgenzi ndio post zitangazwe lakini mpaka sasa majina hayajapelekwa. Kwa hiyo ajira bado ila itakuwa kuanzia tar1 mwez 3 hadi 30. Swala la 26 aprl sio kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.