Recent content by Sir_Rico

  1. S

    JamiiForums Wafanya biashara wa online wekeni Bei za bidhaa hadharani

    Nyie wafanya biashara wa online, mkiwa mnapost bidhaa zenu wekeni na Bei zake watu wajue mapema. Sio mtu anakuuliza sh. Ngapi unamwambia fika ofisini kwetu au Hadi uulizwe Bei. Unadhani kiatu ni 40k, kumbe ni laki na nusu. Nimetoka mbali kuja kuona kiatu na 40k yangu, nakuta ni 150k. Mnaboa sana.
Back
Top Bottom