Recent content by Sir Undisputed

  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Tunaomba Mamlaka husika zifuatilie suala la Makondakta kuongeza nauli kiholela au kukataa kurudisha chenji

    Tunaomba mamlaka husika zifuatilie na kuchukua hatua kuhusu changamoto ya nauli za daladala jijini Dar es Salaam. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya makondakta kuongeza nauli kiholela kwa Shilingi 100 au kukataa kuwarudishia abiria chenji kwa kisingizio kwamba sarafu ndogo ni adimu. Hali hii...
Back
Top Bottom