Recent content by sir rwega

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Je ni sahihi kuishi kwa wazazi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Je na wewe watoto wako utawapa eneo la kujenga, Hapo ulipo ? Je wazazi wako nao walipewa eneo la kujenga? Kama sio je wasinge toka kwao wangekuwa na eneo la kukukatia wewe..?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Aaandaliwaje ikiwa wamempa elimu kijana uyooo? Kwani lazimq apewe pesa?? Kwani sisi tuliotoka tumepewa pesa?? Aaaa ndg vp
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Kwahiyo na wazazi wako, wasingetoka kwao . Wangelikuwa naishi kwa wazazi wao e
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Ndg yangu, kwa akili ya kawaida una mke na watoto alfu wote ninyi mna kaa kwenu ? Unaona nisahihi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Na uko umetulia kabisa hapo home, ume relax
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Sio hawalalamiki, na wewe unaona nisawa kukaa home. Je mzee akitoka hutaweza kuondoka na kujitegemea au utabaki kumsaidia mama??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Sheria ifutwe iyo au?? . Shida si umri mdogo shida na mtazamo wa wazazi na akili finyu kwa mtoto. Just imagine mama na baba wapo home na wana mfanyakazi je na wewe utamtuma?? Uwoga wa maisha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Miaka 23 mdogo eeee, na sheria ya kusema kijana miaka 18 ni mtu mzima anaweza oa au olewa ifutwe sio?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Ni sawa, ndg huna marafiki? Huna mke? Huna mipango yako? Jekweli mzazi wako aendelee kukuona home ???
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Uyo kijana sidhani kama akili iko sawa aswaa . Unakula kwa wazazi auibu huna kweli ata kidogo tu...? Unaoga kwaiyo sabuni ikiisha anaulizia au chakula wanampakulia ikiwa si zamu yake kupika ?mmm kamwe hawezi kupata family akalea iliwajitegemee ila wawe tegemezi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Sasa uyu amelelewa na wazazi genz au? Maana wanasakamwa genz sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Adi miaka 29 kijana yupo tu, sio mgonjwa ana nguvu kabisa?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake? Je kijana uyo atakuwa alelewa kujitegemea au kutegemea maisha yake yote??
Back
Top Bottom