Recent content by Sir mbise

  1. S

    Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters walilia mishahara yao

    Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters Ministries Mkoa wa Mwanza wasotea madai yao kwa miezi mitatu bila mafanikio baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya Shirika alina uwezo wakuendelea kuwalipa mishaara. Baadhi ya Wafanyakazi walifukuzwa wamesema changamoto hiyo ilisababishwa na wahisani kwa...
  2. S

    Tunaomba Serikali iingilie mgogoro uliopo katika shirika la Living waters ministries -Ilemela Mwanza

    Habari kamili Mwaafrika mmoja mtanzania amefanikiwa kuwa Tishio kwa wahisani 350 walio kuwa wakiwafadhili vijana wa kitanzania kwa miaka zaidi ya 20 katika shirika la living waters ( LWMT ) kutoka Ujerumani Marekani Uingereza Canada, Mtanzania huyu aitwae Agricola Silvester malifa amekuwa mwiba...
Back
Top Bottom