Habari za kuaminika zinasema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameingiza nchini makontena Nguo-Gwanda, T-Shirts, Kofia, Kadi, Bendera za CHADEMA nk kutoka nchini China.
Mavazi sambamba na kadi hizo yatavaliwa na kutumika maalum kufanya fujo na matukio ya uvunjifu wa amani katika sehemu...
Pm7 on work, Huyu Katibu wa BAVICHA Tanga ni mmoja wa wale wasaliti 1.Juliana Shonza, 2. Mtela Mwampamba na 3. Habib Mchange wanaotumiwa na Zitto Kabwe kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Acha ujinga wewe, kadi ni mali ya aliyeinunua, uamuzi wa kuichana, kuichoma moto au kuirudisha kwenye chama husika ni uamuzi wa mwenye kuimiliki. Hakuna mwenye mamlaka ya kumpangia Dr. Slaa kuirudisha au kutorudisha kadi ya CCM kwasababu hakuna sheria inayoelekeza au kulazimisha Mwanachama...
Kama Zitto sio Mkuki unaotumiwa na kurushwa na CCM kukiangamiza CHADEMA iweje kila mara yanapotokea madhara pasipokujali kwamba chanzo ni yeye au wengine anatetewa zaidi na wanaCCM kuliko wanaCHADEMA? Au ndio tuseme anachukiwa? Na kama jibu ni ndio swali ni je kwanini achukiwe?
Tonge la...
Zitto Kabwe => Yuda Iskariot! Mbona huyu ni CCM tangu zamani na hajawahi kuwa CHADEMA hata siku moja! Ambacho wengi hamkijui ni kwamba akifanyacho ZZK ni kutekeleza Project ya hela ndefu aliyopewa na Jk ambayo kengo kuu ni kukipasua vipandevipande na kukivuruga kabisa Chama cha Demokrasia na...
Zitto alishanunuliwa na Jk tangu muda mrefu ili kutumika kuvuruga CDM na sasa yuko mbioni anataka kuozeshwa mtoto wa Rais kabisa ili kujiongezea umaarufu utakaompa nguvu ya kupambana kinyume na Dkt Slaa kwa malengo ya kupelekea mpasuko na mvurugano ndani ya CDM.
LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA!
Kama yasemwayo ni mambo ya uongo na yanayolenga zaidi katika kumchafua Zitto iweje kila mara yeye tu ndio ahusishwe na tuhuma za usaliti? Je kwani ni uongo kwamba Zitto ana mahusiano ya karibu na Jk? Je ni uongo kwamba Zitto amekuwa katika mahusiano na mtoto...
LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA!
Kama yasemwayo ni mambo ya uongo na yanayolenga zaidi katika kumchafua Zitto iweje kila mara yeye tu ndio ahusishwe na tuhuma za usaliti? Je kwani ni uongo kwamba Zitto ana mahusiano ya karibu na Jk?
Je ni uongo kwamba Zitto amekuwa katika mahusiano na mtoto...
LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA!
Kama yasemwayo ni mambo ya uongo na yanayolenga zaidi katika kumchafua Zitto iweje kila mara yeye tu ndio ahusishwe na tuhuma za usaliti? Je kwani ni uongo kwamba Zitto ana mahusiano ya karibu na Jk? Je ni uongo kwamba Zitto amekuwa katika mahusiano na mtoto...
LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA!
Kama yasemwayo ni mambo ya uongo na yanayolenga zaidi katika kumchafua Zitto iweje kila mara yeye tu ndio ahusishwe na tuhuma za usaliti? Je kwani ni uongo kwamba Zitto ana mahusiano ya karibu na Jk? Je ni uongo kwamba Zitto amekuwa katika mahusiano na mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.