Recent content by sir kiduku

  1. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Duhh hizi scenario n ngumu sana
  2. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Samahani kwa uandishi mkuu
  3. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Yeye ana certificate tu
  4. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Hiyo n kuficha identinty kwasababu ni currebt situation mkuu
  5. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Ndo niko najaribu kufanya hivyo mkuu
  6. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Sijaficha kitu mkuu ni vile tu binti anasema familia yake n ya hvyo kila mtu anamisimamo yake na anapenda kuonekana yeye ndo sahihi kuliko wengine
  7. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    😀😀 Hiyo ni avatar tu mkuu siko hivo kabisa
  8. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Anashauriwa sana ila bado yeye ndo mstari wa mbele kupingana na hayo mawazo yao ya wao kutaka aachane na mimi
  9. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Yeah mkuu ni hivo aunt zake wawili wameshasema hilo jambo wawo hawatokuwepo kweny sherehe kama nikisema nimuoe huyo binti
  10. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Sawa Asante kwa ushauri mkuu
  11. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Sijawauliza hilo mkuu
  12. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Kuna shida gani ya kulazimisha kama umeshakataliwa ukweni mkuu
  13. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Baba mzazi hajaulizia, ila ndugu yake ambaye ni shangazi yake tuliye naye huu mkoa mimi nilipo ndo ameamua kufikisha hizo taarifa kwa baba wa binti, hivyo mzee akaona nisiendelee na binti yake
  14. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Nlikubali kuwa nimefanya makosa kama wanavyosema ila nilipenda nimpe binti heshima yake kama wazazi wanavyotaka ila naona wananiwekea ugumu sana kweny hilo
  15. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa, Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu...
Back
Top Bottom