Recent content by Sir Bujiku Official

  1. Sir Bujiku Official

    Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  2. Sir Bujiku Official

    Ninawezaje kumtambua mwanamke anayenipenda kwa dhati kutoka moyoni mwake?

    Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania. Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu. Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua...
  3. Sir Bujiku Official

    Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

    Pole sana dada yake na mimi kwa changamoto hiyo ya kimahusiano, nafikiri ni changamoto ya mahusiano ya pande zote hata wanaume tunazipitia lakini mi ningependa kabla sijakushauru nirejelee reflection ya literally works zinamchora mwanamke as a tool of sex kwa mwanaume kwo wanaume wengi bado tuna...
  4. Sir Bujiku Official

  5. Sir Bujiku Official

    Nichague mwanamke yupi wa kuoa kati ya hawa wawili?

    Hufai kuigwa na jamii mkuu 😂😂😂
  6. Sir Bujiku Official

    Nichague mwanamke yupi wa kuoa kati ya hawa wawili?

    Unafaa kuwa mtabiri my dear yaani umepita mule mule napopaangazia
  7. Sir Bujiku Official

    Nichague mwanamke yupi wa kuoa kati ya hawa wawili?

    1. Mwanamke ambaye ninamzidi miaka 3, ni mwanachuo wa Bachelor, ni Mhehe kwa kabila, anapenda kusifiwa ndo furaha yake, anaishi na wazazi wake wote wawili na ndugu wengine kama kaka zake, dada zake na wadogo zake, ananipenda sana na anapenda WhatsApp video call tukiwa mbali naye. 2. Ni mwanamke...
Back
Top Bottom