Recent content by SIPENDIUONGO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

    walimu wa cheti wanaanza na Tgts B na wanapanda hadi Tgts G deploma wanaanza na Tgts C na wanapanda hadi Tgts H degree wanaanza na Tgts D wanapanda hadi Tgts I hii ni kulingana na walaka mpya cheti na deploma wameongezewa madaraja mawili degree wao wameongezewa daraja moja tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania UDOM kinanuka Jumatano

    na nyie Hanna akili kwnn mmeamua kwenda chuo cha vilaza
  3. S

    JamiiForums Tanzania UDOM kinanuka Jumatano

    degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
  4. S

    JamiiForums Tanzania UDOM kinanuka Jumatano

    Udom chuo cha vilaza hata div four wanapokelewa yaani wanafunzi pamoja na uongozi mzima hakuna kitu huwezi fananisha na MU au Udsm
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MWL msingi Arusha nataka kwenda babati mjini moshi manispaa au morogoro manispaa 0764103526
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

    sawa lakini mjue kuwa Tanzania vyuo competent ni vitatu tu yaani Udsm MZUMBE na sua
  7. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ARUSHA mwl msingi aje moshi manispaa morogoro manispaa mwanza jiji au babati mji
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    magu hapana labda mwanza jijini nipo arusha
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    magu hapana labda mwanza jiji mm nipo arusha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha nimemaliza Tumaini university makumira( BED ARTS)Geography na History 07

    una GPA ya ngapi? kama huna GPA kuanzia 3.5 huwezi ajiriwa has a kwa chuo kama hicho . .
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ualimu na hadhi yake

    walimu wanaotuburuza no hawa was grade A yaani wanatumiwa na serikali ya CCM kama gari la taka hawajitambui na ndio wanaokwamisha kila kitu kwa kuibeba CWT sisi University Teachers hatutaki kuchangamana na hawa vilaza wanaosubiri madaraja ya mserereko pasipo kujiendeleza
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

    First Class Degree ya Udom ni sawa na Pass Degree ya Mzumbe, Udsm au SUA so wasameheni bure hao vilaza wanaoingia chuo na div. four
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwalimu ngazi, cheti, shahada, na stashahada!!

    wa degree anaishia tgts gani?
  14. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl msingi nipo halmashauri arusha natafuta wa kubadilishana niende manispaa morogoro moshi mwanza jiji au babati mjini 0764103526
  15. S

    JamiiForums Tanzania GPA hii itamruhusu kwenda masters ?

    Akasome postgraduate diploma one year
Back
Top Bottom