Recent content by Singida Big Stars

  1. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Muhibu Kanu amesomea ukocha na kuhitimu. Kwa sasa ni kocha mkuu wa timu yetu ya vijana.
  2. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Watanzania tuna safari ndefu sana.
  3. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Vinasaba vya Yanga ni vipi?
  4. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Singida ndio makao makuu ya timu yetu. Karibu sana.
  5. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Pengine kwa sababu anajulikana ni mdau mkubwa wa soka, anatokea Singida na alishawahi kumiliki timu ya mpira huko nyuma. Hatuwezi kuwazuia kuwa na hisia hizo. Ni kuwaelewesha tu taratibu. Ipo siku wataelewa.
  6. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Kampuni yetu haiko listed hivyo sio mali ya umma. Tukitangaza kuuza hisa au kutafuta washika dau au ikiwa listed kwenye masoko ya hisa, basi tutaweka hadharani shareholders wote. Kwa sasa hatuoni ulazima wa kufanya hivyo.
  7. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Tunashukuru sana mdau.
  8. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Siri ya yote haya ni taaluma. Tunafanya kila kitu kwa kuzingatia weledi na kufanya utafiti wa kutosha. Wadhamini wengi tuliowafuata na tunaoendelea kuwafuata wanashawishika na namna tunavyojieleza kwao, wakiangalia dhamira na mipango yetu wanaamua kutake risk na kuwekeza. Ni jukumu letu...
  9. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Asante kwa kuliona hili. Kamati yetu ya usajili ilifanya kazi yake ipasavyo.
  10. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Tuombeane heri mdau kwa maslahi mapana ya ligi yetu.
  11. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Asante kwa maoni mdau. Tungependa tufafanue kama ifuatavyo: 1. Timu yetu haiendeshwi na Mwigulu Nchemba wala kiongozi yoyote wa serikali. Upotoshaji kama huu ndio umefanya tuje na uzi maalum kuweka rekodi sawa. 2. Tuna wadhamini wa kutosha na tumeingia mikataba na makampuni yote kwa umakini...
  12. Singida Big Stars

    Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022). HISTORIA Klabu ya Singida Big...
Back
Top Bottom