Recent content by Simulizi za Patrick Ck

  1. S

    Siri ya maisha na kifo na melanie chuma

    SIRI YA MAISHA NA KIFO CHA MELANIE CHUMA 02 “Karibu sana ndugu Patrice” akasema Dr Fabian “Mheshimiwa Rais Dr Fabian kwanza ninakushukuru sana kwa namna ulivyojitahidi katika kikao kuwashawishi marais wakubali ombi la nchi yangu kujiunga na Jumuiya hii.Ni muda mrefu tumekuwa tukiitafuta...
  2. S

    Siri ya maisha na kifo na melanie chuma

    SIRI YA MAISHA NA KIFO CHA MELANIE CHUMA ( SIMULIZI YA KIJASUSI EP 01 ARUSHA Kikao cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya hiyo yaliyopo Arusha Tanzania kilimalizika kwa mafanikio makubwa. Kikao hicho cha kawaida kilichohudhuliwa na marais...
Back
Top Bottom