Recent content by simbeyetz

  1. simbeyetz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    zinaonekana organised kwasababu watanzania wana akili wanauwezo wa kujiongoza, kusoma mazingira na kuorganise mambo yao. sio matetete
  2. simbeyetz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    Unaleta hisia binti, watu hawafanyi vurugu kama wana njia mbadala wa kutatua kero zao. watanzania hawahitaji kuchochewa ili wajue ni nini wananyimwa au wapi wanaonewa. kudhani kuwa wasingetoka kupigania haki zao kama wasingechochewa ni kuwatukana kwamba hawana akili. mpaka waambiwe na mtu...
  3. simbeyetz

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pongezi na hamasa kwa Mrisho Gambo, mbunge wa Arusha Mjini

    Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kubwa kukuandikia waraka huu kama kijana na mkazi wa Arusha, nikiwa miongoni mwa waliothamini kwa dhati utumishi wako wa dhati kwa watu wa jiji letu na taifa...
Back
Top Bottom