Recent content by SIMBA45

  1. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    hawa ndio wana wa arusha na wapiga kura sio kama wale wa kusombwa na malori kutoka mikoani, Kiwanda cha A-Z,waliongwa 10,000, walioletwa toka pwani,singida na Dar. Hao wanaoshangilia ndio wapiga kura halisi wa arusha hyo mengine ya uwanjani ni mafuriko ya kutengeneza na maigizo.
  2. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Watu wa arusha raha kweli tunda man anaimba anawambia watu mikono juu wanashangilia kwa style ya mabadiliko ya kuzungusha mikono.
  3. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    mkuu usiumie Sana Leo tutamzomea bulembo akileta matusi yke huku.
  4. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Mwanadiwani upo wapi kaka tucheze hili sebene hapa..fiesta tamu kweli mpk mc anasema Leo n sku ya fiesta. Duhuuuuu.
  5. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Wanaccm na Watu wanapashana habari za hapa na pale hapa uwanjani wanasema wamekuja tu basi ili kuokoa jahazi la kutokupata maudhurio ya watu ila kura zao kwa lowassa na Lema. Wakiwa na maana ya mchana wapo ccm na usiku ukawa na kura zao ukawa
  6. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Daladala zilizokodishwa kuleta watu naona ndio zunajaza walioenda kuletwa mikoa mingine ili kuhadaha watu na kukwepa kuambulia aibu.
  7. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    ndio zile sera za ccm za uonevu na mfumo dume..
  8. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Muda wa burudani sasa wanawataja wasanii watakaotumbuiza..hadi wauza madawa ya kulevya kama chid Benz.. Khaaaa hii fiesta balaa
  9. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Naona msemaji yupo steji anasema vijana wawaone viongozi wao nadhani sasa wanaenda kugaiwa milungula Yao.
  10. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Naona polisi wanawafukuza vijana wa bodaboda waliopo nje ya uwanja na hawataki mikusanyiko ya watu barabarani wanaogopa magufuli kuzomewa. Msihofu nina imani wana wa arusha Ni wastaarabu na watapata fiesta ya bure na kumsikiliza magufuli ilimradi wamsimtukane mbunge wetu Lema na raisi wetu...
  11. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Nipo upande wa kusini mwa uwanja na wanamabadiliko tunapata shoo ya bure. Tahadhari ccm mkianzisha kumtukana lowassa na ukawa tutawazomea vibaya Sana.
  12. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Naona fiesta imeanza na big screen nini inatoa burudani ya bureeee...tunashukuru kwa burudani ila kura yngu kwa lowassa
  13. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    majitu ya ccm hayanaga akili mkuu..wanawaleta watu kwa daladala,malori,mabus na watu wamepewa elfu kumi kumi na monaban ili wajaze uwanja.
  14. SIMBA45

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    mkuu ata mm naliona linapigwa rivasi ovyo awajui ata waliweke wapi
  15. SIMBA45

    Zikiwa zimebaki siku 20, Mbowe nakukumbusha ahadi yako hii uliyoitoa mkoani Lindi

    October utapata maana alisi ya mbowe..ccm out
Back
Top Bottom