[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila hii timu ya yanga tatizo lake ina majina mengi ya kutaniwa, mara yeboyebo, mara mgongowazi, mara utopolo
Mkuu nimeshtoka huko, na hii week inayoqnza kesho nanunua jezi kabisa, Simba uwongo uwongo ndio mwingi, tunadanganywa tumesajili wachezaji bora, benchi la ufundi bora, ila njoo uwaone sasa uwanjani[emoji706][emoji706]
Sawa mkuu, mimi ndio nimeshamove on ivoo. Na nimefollow page yao Instagram. Natarajia mambo makubwa kwa hii timu ambayo hayakuweza kufikiwa huko nilipokuwa, nawaona wanaenda kuteka soka la vilabu barani Afrika, labda itokee ajali za kimpira maana mpira unakuwaga na suprize zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.