Recent content by SILVESTER CLEMENT MABULA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi katika sekta ya usafirishaji au ufundi

    Heshima kwenu wana-JamiiForums, Mimi ni kijana mtulivu, mwaminifu na mwenye juhudi za kazi, natafuta fursa ya kazi katika sekta ya usafirishaji au ufundi. Niko tayari kufanya kazi mahali popote nitakapohitajika. Sifa na Ujuzi Wangu: Udereva: Nina Leseni ya Udereva Daraja B na D (Class B & D)...
Back
Top Bottom