Recent content by silvanus mwamlima

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Usitukumbushe imebaki story kura zote kwa Gwajima.
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

    Mambo yashakua makubwa huku kawe kila mtu Gwajima, Gwajima.
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Nimemfuatilia sana huyu Halima Mdee nimeona siasa imemshinda badala ya kuleta hoja za maendeleo analeta matusi. Kura yangu Kawe kwa Gwajima .
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Gwajima ni phd holder yupo kwa ajili ya kuhudumia watu na siasa ni watu, tumpe nafasi anaweza sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Gwajima ni jasiri, anajenga hoja, anaweza.
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Mama Rwakatale amemaliza safari sio vizuri kumuhukumu ila tumpe nafasi Gwajima anaweza.
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Acha hasira kaka Gwajima ni mtu makini kuliko unavyowaza.
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Kweli kabisa kaka Gwajima ni mtu makini na msomi anayejua kujenga hoja.
Back
Top Bottom