Recent content by Silvanus Mgaya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Sio lazima wote tujue kiingereza! hii ni lugha ya wasomi kwa hapa kwetu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Siku Bado Haijaisha Ngoja Ifike Saa Sita Za Usiku Ndio Itafahamika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio walimu wetu wapya

    Umeishiwa Story! Huo Ni Uongo Hakuna Mwl Anayeweza Kusema Hivyo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    Inaleta Matumaini!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

    Asante Kwa Ushauri Bro Pia Inatakiwa Kuwa Makin Ktk Ufuatiliaji Wa Hizo Pesa Kwa Mfano Nauli Vinginevyo Unaweza Kuzurumika Mana Wajanja Ni Wengi! Nawatakieni Maandalizi Mema, Ualimu Ni Kazi Rahc Ila Kuna Baadh Ya Walimu Wanacomplicate Mpaka Tunaona Ni Mgumu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe naibu waziri mhagama alikua sahihi kabisa

    Mi Nafikir Kama Hamtaki Ijira Zitoke Saku Ya Fools Day, Tuiombe Serikal Ili Ajira Zitoke May Mos Yaani Ck Ya Wafanyakazi!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Tuvute Subira Wadau Ajira Zipo Tu Kwaajili Yetu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Kama Wewe Ni Mwalimu Masikin, Ni Upumbavu Wako Na Mipango Yako Mibovu Ila Sio Walimu Wote Masikini.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosikiliza TBC leo asubuhi,kuhusu ajira za walimu.

    Mlioangalia Taarifa Ya Habar Asubuhi Mtuhabarishe, Sina Uhakika Na Hiyo Taarifa Hata Kidogo!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimepata Dv 1 ya 14 na Kazi yangu ya Houseboy inanilipa...

    Nenda Kwanza Katafute Pesa! Sio Lazima Usome Sasa Elimu Ipo Tu Mdogo Wangu! Then Unaweza Kupata Chance Ya Kusoma Mbele Ukawa Umeongeza Cv Yako! Komaa Nao Wackilize Wanachokitaka! Jenga Uhusiano Nao Zaid
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Sio Taarifa Rasm!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu, kawambwa anena

    Ajira Zitatoka Kama Yalivyotoka Matokeo Ya Form 4 Kwn Waliongea Xana Mwisho Necta Ikamaliza Utata! Xo Tusiamini Kila Kitu Ndg.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa walimu tarajari 2013.

    Bro Acha Kupost Habar Zisizokuwa Na Uhakika! Bora Ukaekimya Kama Hujui. Isitoshe We Sio Mhanga
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Hayo Maswala Ya Rasim Ya Katiba Cjui, Hatutaki Kuyackia Shv! Kinachomata Ajira Kwanza Mengine Yatafuata
Back
Top Bottom