Recent content by silinu

  1. S

    SoC04 Madhara ya ukosefu wa mtandao na suluhu yake Kwa miaka miwili

    Mawasilianao ni kitendo Cha kupashana habari baina ya mtu mmoja na mtu mwingine au baina ya mtu mmoja na kundi la watu. Kuna njia nyingi za mawasiliana kama vile kupigiana simu,kutumia a meseji,kuandikisha barua nk. Ukosefu wa mtandao unaweza kuwa na madhara makubwa kwa watu binafsi, biashara...
  2. S

    SoC04 Madhara ya rushwa na njia za kutokomeza ndani ya miaka miwili

    Maana ya Rushwa: Rushwa ni matendo ya kupokea au kutoa hongo, zawadi au malipo mengine kwa madhumuni ya kupata manufaa yasiyostahili, au kuepuka hatari inayotokana na kutofanya hivyo. Inaweza kuhusisha watu wa umma au wa kibinafsi na kwa kawaida huleta madhara makubwa kwa nidhamu, maadili na...
  3. S

    SoC04 Tanzania na kilio cha mtandao

    Tanzania ni jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muunganiko huu uliofanyika 26,April,1964 takeibani miaka 60 sasa ndo ulizaa Tanzania. Tatizo la mtandao(network) Tangu uhuru,Tanzania na Nchi nyingine Afrika na duniani Kwa ujumla zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi Ili kuendana na...
Back
Top Bottom