Dada wa kazi kama mwanamke yoyote only ni mfanyakazi wako, na uko nje mbali. Wife hataki kachoka, unatowa opportunities mwenyewe buzy na tv kutwa instagram makosa ni yenu housewives
wanawake wa pwani wamesisitizwa kwamba mume ni mtu bora sana kwake, hata kama wewe ni waziri mjari na wengi wamesoma na wanakazi bora, wananampikia na kumwandaria mume bila kuleta zharau wanawake wengi wa kusini pesa mbele
wazi
wanawake hauna huruma, mke wangu nilikuwa nakula chakula cha usiku kila siku na bado katoka nje ya ndoa, huyu jamaa ninampa pole na hawe na subira; kwani hapa wanaotesa ni watoto, nimemuacha mke wangu watoto wanne wote wanaharibika najuta kwanini nilimuacha (i should stay there for kids only)...
mkuu sometimes i ask myself why i am writing my person story so if you dont understand I get relief; i dont get anything out of this from people like than humiliation
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.