Wakuu,
Vitabu vilivyo orodheshwa hapo juu vimekuwa adimu Sana kutokana na wachapishaji kusimama kwa muda..Kasoro vitabu vya Erick shigongo ambavyo tutavileta jukwaani na bei zake hivi karibuni.
Ni kitabu chenye mitihani mbalimbali ya Taifa kidato cha pili kuanzia mitihani ya kitaifa ya mwaka 1999 somo la uraia.
Kitabu kina maswali pamoja na majibu.
ISBN_9789987701094
Author(s)_John ezra & Ngassa Maduhu
Bei 5,200/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.