pole ma dia lakn you need 2 go on wit ur life whether u like it or not!! wote 2lipitia huko na 2liumia sana lakini sasa 2meshayaweka pembeni na 2nasonga mbele kabsa. hata ukiendelea kukaa hivyo imeshatokea na haiwezi rekebishika!!!! continue wit ur life ma dia, that is ma advice 2u!!
plz, nakushauri achana nae kabsa. jaribu kufikiria familia yako na mazingira. je, angekua huyo ndo mke wako anataka kufanya hivi unavyotaka kufanya wewe utafanyaje/ ungejisikiaje? na mazingira mtakayakua yatakuwaje? ukishajiingiza huko ni rahisi sana kuja kusahau familia yako na huyo mwanamke si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.