Recent content by Shwintux

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kukaa (Living Room) Musoma mara

    Wakuu habari, Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi. Vigezo ninavyopendelea: Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu) Mahali pasafi na salama Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila...
Back
Top Bottom