Nyumba ya kupangisha nanunua kiwanja alafu najenga jengo moja vumbya vingi au najenga nyumba nzima moja alafu tena najenga nyingine ,kujenga nyumba nzima moja moja ita nikula mpaka nita choka Huwa nafikilia kujenga nyumba ya kupanga najenga jengo moja alafu nakata vyumba Vyumba lakin huwa...
Nilikuwa mfanya kazi wa ndani bosi akanichukua na mimi tukaja wote lakini watu waanze kutafuta passport nikipata connection nita wakumbuka 😘😘
huo ni ujinga na upotovu uza punye zako kwakuwa unashda ya hela
alafu kujua kuandika na kuwa na akili ni vitu viwili
mimi sijui kuandika na niko...
Wow nashukuru kwa ushauri wako napenda sana pia katika kilimo lakini mwenye ata kwenda kusimamia kazi shambani ndo sina wala sijui naanza je sina marafiki iringa so labda nikimpata mtu Nimu ajili nikisema tuchange nita chunwa tu uaminifu kwenye hela ni changamoto lakini nashukuru kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.