Mimi nilihitimu elimu ya sekondari 2011 na natamani kuwa dereva wa serikali katika ofisi yoyote ilimradi ni ya serikali (mfano Dereva wa mkurugenzi, Gari la wagonjwa na mengineyo). je ni course gani natakiwa kusoma na pia ni sifa gani natakiwa kuwa nazo ili nisome kozi hiyo Chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.