KWELI IMETOKEA
Mshikaji mmoja alikuwa anamzimia sana Bob Nester marley. Mshkaji anajihusisha na uchimbaji wa madini alikuwa ameahidi hata kama hana kiwanja nyumba gari ila akipata tu mkwanja lazima a fly kwenda kuzuru kaburi la mzee mzima. Mungu akambariki mwaka juzi kavuta bingo msela kakwea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.