Recent content by Shujaa-zamani

  1. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Nilisema naishi jimbo langu ni baridi kali :-). Naishi jimbo la Michigan ni karibu na nchi la Canada pia hali ya hewa ni baridi kali kila miaka.
  2. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Lolol sawa ukiishi karibu na Usa au Arusha. Nitakuletea nami.
  3. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Lololololololol umekosea, jaribu tena rafiki. Majimbo ya Carolina ni joto kali sana ziko pwani ya mashariki ya marekani. Jimbo la Dakota iko Kaskazini.
  4. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Asante kwa jibu lako. Ninatoka jimbo la Kaskazini katika Marekani. Kwa hivyo, ninapenda hali ya hewa nzuri. Sipendi joto kali sana lololol
  5. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Sielewi... sema tena lakini na maneno rahisi. Asante sana
  6. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Ndio, sehemu ya nyumba yangu ni pamoja na chuo kikuu changu. Kwa hivyo, nikifanya kazi na masomo, nitakuwa na nyumba kukaa katika.
  7. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Je, una ushauri wowote wa kutafuta makundi haya?
  8. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Unafanya kazi gani katika Usa? Kwa hivyo, una mapendekezo kwa Gyms, migahawa, na mahali kukutana na Watu? Ni muhimu nitafuata watu wanaokimbia na kuinua uzito.
  9. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Ah kaka, unasema sitafuata upendo na wanawake wa Usa? 🤣 Je, wanavunja mioyo?
  10. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Ninafanya kazi na masomo na chuo kikuu cha MSTCDC kiko Usa.
  11. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Mahali kufanya mazoezi yanaitwa nani na yuko wapi? Una link au picha utanionyesha?
  12. Shujaa-zamani

    Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Hamjambo! Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi? Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni...
Back
Top Bottom