Recent content by shujaa bangili

  1. S

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu nimekuelewa Sana ila napenda kufahamu kutoka kwako na kwa yeyote mwenye kufahamu vipi kuhusu Hawa AliExpress wako vizur maana sijawahi kulitumia ila ndio nataka niagize mzigo kupitia wao wajuzi NAOMBA ufafanuzi Asante.
  2. S

    Kwenye koo langu kuna kitu nakisikia kama kimekwama sasa nashindwa kuelewa ni kitu gani

    Umenipa mwanga nashukuru mkuu pia Kama UNAFAHAMU jina la ugonjwa nijuze.
  3. S

    Kwenye koo langu kuna kitu nakisikia kama kimekwama sasa nashindwa kuelewa ni kitu gani

    Nahitaji msaada na ushauri wenu wa dhati WAKUU,kuna kitu huwa kinanisumbua Sana sielewi tatizo NI nini.kwenye Koo LANGU KUNA kitu nakisikia Kama kimekwama Sasa nashindwa kuelewa NI kitu gani maana nikiwa nakula sikisikii Wala nikinywa maji sikisikii Bali nikiwa nameza mate ndiyo huwa nakisikia...
Back
Top Bottom